Za Ndanii Kabisa, Yanga Watuma Shushu Algeria Kuwasoma CR Belouizdad Kimya Kimya
Taarifa za kuaminika ni kuwa mchambuzi wa video (video analyst) wa Klabu ya Yanga, Khalil Ben Youssef alishawasili nchini Algeria wiki mbili zilizopita tayari kwa kuisoma klabu ya CR Belouizdad.…