JICHO LA MWEWE: Kelvin John ‘Mbappe’, kuna mahalI amekwama?
WASINGEWEZA kujizuia kumuita Kelvin John jina la Mbappe. Waliomuona wakati huo akichomoza katika soka la vijana hapa nchini, walihisi alikuwa na kila sababu ya kupewa jina la utani la Mbappe…