Shaffih Dauda Afunguka ‘Siamini Kama Kocha wa Makipa Simba Alipendekeza Manula Adake Jana’
Ameandika Haya Shaffih Dauda: KUMEKUCHA Baada ya mchezo wa jana kumalizika yangu ni haya nikianza na eneo la uchaguzi wa kikosi ! Kabla timu haijafikia uamuzi wa kupanga kikosi siku…