Yanga na Azam Hakulaliki, Lolote Linaweza Kutokea, Makocha Wafunguka Mbinu Mpya
Benchi la Ufundi la Young Africans, limeanza kukiandaa kikosi chao kuhakikisha kinakuwa bora kabla va kukutana na Azam FC, katika mchezo wa Mzunguuko wa sita wa Ligi Kuu Tanzania Bara.…