Rais wa SOKA Duniani, Infantino Apongeza Soka la Tanzania
Rais wa shirikisho la soka Duniani Gianni Infatino kupitia ukurasa wake wa Instagram ameonyesha furaha yake kuwepo nchini Tanzania katika ufunguzi wa michuano mikubwa ya African Football League. Ufunguzi huu…