Niwakumbushe tu Kidogo, Kocha Luc Eymael Alifurumushwa Tanzania Kwa Kauli za Kibaguzi
Luc Eymael Baada ya kusambaa kwa taarifa kuwa klabu ya Yanga imefunga kusajili kutokana na deni wanalodaiwa na aliyekuwa Kocha wao Luc Eymael, Yanga imemlipa kocha huyo. Afisa Habari wa…