๐๐๐ฉ ๐๐ฎ๐๐ซ๐๐ข๐จ๐ฅ๐ Ailaza Liverpool Kwenye Mechi yake ya 1000
๐๐๐ฉ ๐๐ฎ๐๐ซ๐๐ข๐จ๐ฅ๐ amepata ushindi wake wa 716 kwenye mechi yake ya ๐๐๐๐ kama kocha baada ya kuiongoza Manchester City kuilaza Liverpool 3-0 katika dimba la Etihad.
Erling Haaland amefunga bao lake la 99 kwenye Ligi Kuu England huku ikipoteza mechi yake ya nne mfululizo ya ugenini kwenye Ligi hiyo kwa mara ya kwanza tangu 2012.
FT : Man City 3-0 Liverpool
โ 13′ Haaland (P)
โฝ 29′ Haaland
โฝ 45+3′ Nico
โฝ 63′ Doku
MATOKEO MENGINE: EPL ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Aston Villa 4-0 Bournemouth
Brentford 3-1 Newcastle
Crystal Palace 0-0 Brighton
Nottingham Forest 3-1 Leeds United
